ZEBRARestaurant DSMTumefunga kwa leo, Tunafungua Jumanne saa 12:00Change language: English

Vikundi na V.I.P

Mnakuja wengi? Tuandae mapema.

Package za V.I.P na baadhi ya vyakula vinaandaliwa kwa oda ya siku moja kabla. Piga simu au tuma WhatsApp ukitaja siku, saa na idadi ya watu; tutakuthibitishia kwa simu. Ombi si uthibitisho mpaka tukujibu.

V.I.P na zawadi

Booth za V.I.P na zawadi, kwa oda ya siku moja kabla.

Mduara: sinia za kula pamoja

Sinia kubwa za kula pamoja, kwa watu 4 hadi 10.

Oda ya siku moja kabla

Agiza angalau siku moja kabla kwa simu au WhatsApp.

Kila package inaonyesha bei na idadi ya watu kama zilivyo kwenye mfumo wa Zebra. Kwa amana, mapambo, keki na muda wa booth, tutakueleza kwenye simu.