Groups and V.I.P
Coming as a group? Let us prepare.
V.I.P packages and some dishes are prepared on a day’s notice. Call or WhatsApp with the day, time and number of people and we confirm by phone. A request is not confirmed until we reply.
V.I.P and gifts
V.I.P booths and gifts, ordered a day ahead.
V.I.P Couple (watu 2)
TSh 100,000Booth 1, masaa 4: keki 1/2 kg, kaukau wings, kaukau drumsticks, kuku sekela, kuku lemon, russian sausage, chips mayai, pilau au biryani, loaded vuruga, mishkaki ya nundu na fillet, zabibu, korosho, strawberries, big mojito glass
V.I.P Classic (watu 6-8)
TSh 180,000Booth 1, masaa 4: keki 1 kg, kaukau wings, kaukau drumsticks, kuku sekela, kuku lemon, russian sausages, mishkaki ya nundu na fillet, chips mayai, pilau, biryani, american chips, loaded vuruga, chips, ndizi mzuzu, zabibu, korosho, strawberries
V.I.P Nyomi (watu 10-15)
TSh 300,000Booth 2, masaa 4: yote ya Classic + nyama ya ng'ombe fried, wings na drumsticks fried, kaukau chicken mzima, nyama ya mbuzi choma, chips mayai, chips plain, mojito tower jug + refill 1
Mapambo ya V.I.P (Couple/Classic)
TSh 50,000Mapambo ya booth kwa V.I.P Couple au Classic
Mapambo ya V.I.P Nyomi
TSh 60,000Mapambo ya booth mbili kwa V.I.P Nyomi
Maua Pelekea Nyuki: Tanzanite
TSh 100,000Chicken drumsticks 30, bouquet, gift box ya chips, chips mayai na ndizi, sauces
Maua Pelekea Nyuki: Dhahabu
TSh 90,000Chicken drumsticks 10, beef skewers 10, bouquet, gift box ya chips, chips mayai na ndizi, sauces
Maua Pelekea Nyuki: Shaba
TSh 80,000Chicken drumsticks 15, bouquet, gift box ya chips, chips mayai na ndizi, sauces
Maua Pelekea Nyuki: Budget
TSh 50,000Nundu mshkaki 3, fillet mshkaki 3, kaukau drumsticks 3, soseji mshkaki 3, chips, ndizi
Mduara: sharing trays
Big sharing trays for 4 to 10 people.
Mduara Family
TSh 78,000Pilau, biryani, sauce ya biryani, sauce ya pilau, kaukau chicken 1 mzima, soseji, nyama, ndizi, chips, zabibu kijani na nyekundu, wings 2, drumsticks 3, zegepizza kubwa
Mduara Chips
TSh 50,000Kaukau chicken mmoja, wings 3, drumsticks 3, ndizi, chips, zegepizza kubwa, zabibu kijani na nyekundu, soseji, nyama
Mduara Wali (watu 3/4)
TSh 48,000Mandi, pilau, biryani na mandi nazi, sauce ya biryani, njegere, sambaro, salad, white sauce; kuku 1 wa kisasa na nyama ya ng'ombe
Mduara Wali (watu 5/6)
TSh 65,000Mduara wali na kuku 1 wa kisasa, nyama ya ng'ombe kilo 1, drumsticks 5
Mduara Wali Kienyeji (watu 5/6)
TSh 75,000Mduara wali na kuku 1 wa KIENYEJI, nyama ya ng'ombe kilo 1, drumsticks 5
Mduara Wali (watu 8/10)
TSh 95,000Mduara wali na kuku 2 wa kisasa, nyama ya ng'ombe kilo 2, drumsticks 10
Mduara Wali Kienyeji (watu 8/10)
TSh 115,000Mduara wali na kuku 2 wa KIENYEJI, nyama ya ng'ombe kilo 2, drumsticks 10
Order a day ahead
Order at least a day ahead by phone or WhatsApp.
Nyama Chungu Ng'ombe kg 1
TSh 25,000Nyama ya ng'ombe kilo 1 iliyopikwa kwenye chungu bila mafuta
Nyama Chungu Ng'ombe kg 1 na Side
TSh 30,000Nyama ya ng'ombe kilo 1 ya chungu na side dish (mandi, pilau, biryani, mandi nazi, chips, ndizi au mix)
Nyama Chungu Ng'ombe kg 2
TSh 40,000Nyama ya ng'ombe kilo 2 iliyopikwa kwenye chungu bila mafuta
Nyama Chungu Ng'ombe kg 2 na Side
TSh 48,000Nyama ya ng'ombe kilo 2 ya chungu na side dish
Nyama Chungu Mbuzi Ndogo
TSh 25,000Posheni ndogo ya mbuzi wa chungu
Nyama Chungu Mbuzi Ndogo na Side
TSh 30,000Posheni ndogo ya mbuzi wa chungu na side dish
Nyama Chungu Mbuzi Kubwa
TSh 40,000Posheni kubwa ya mbuzi wa chungu
Nyama Chungu Mbuzi Kubwa na Side
TSh 48,000Posheni kubwa ya mbuzi wa chungu na side dish
Kuku Kienyeji wa Chungu 1
TSh 35,000Kuku mmoja mzima wa kienyeji wa chungu
Kuku Kienyeji wa Chungu 1 na Side
TSh 40,000Kuku mmoja mzima wa kienyeji wa chungu na side dish
Kuku Kienyeji wa Chungu 2
TSh 60,000Kuku wawili wazima wa kienyeji wa chungu
Kuku Kienyeji wa Chungu 2 na Side
TSh 68,000Kuku wawili wazima wa kienyeji wa chungu na side dish
Kubwa Kuliko (watu 12-15)
TSh 250,000Mbuzi mzima mkubwa na mandi, pilau, mandi nazi, biryani, chips yai, chips kavu, ndizi mzuzu, sauces 7