ZEBRARestaurant DSMTumefunga kwa leo, Tunafungua Jumanne saa 12:00Change language: English

Ndani ya Zebra

Uwanja wa mbao. Ukumbi chini ya taa.

Picha zote hapa ni za Zebra yenyewe, Kinondoni Biafra. Hazijatengenezwa wala kuchukuliwa mahali pengine.

Mahali

Uwanja wa Zebra mchana: meza za mbao chini ya paa
Uwanja mchana: meza za mbao za familia na vikundi, chini ya paa.
Ukumbi wa Zebra jioni, chini ya taa
Ukumbi jioni, chini ya taa za kuning’inia.
Sinia ya Zebra: wali wa aina nne, kuku, nyama na sosi
Sinia: wali wa aina nne, kuku, nyama, chips na sosi.
Sahani ya pilau na sosi mezani kwenye uwanja wa Zebra
Pilau na sosi tatu, mezani uwanjani.
Kuku mzima juu ya mandi, na sosi
Kuku mzima juu ya mandi.
Kuku wa kuchoma na chips, Zebra
Kuku wa kuchoma na chips.
Kidate: chips, nyama, kuku na sosi
Kidate
Zege: chips mayai na nyama juu
Zege
Biryani na sosi, sahani ya Zebra
Biryani

Hiari

Tembea ndani kwa picha nne

Kutoka uwanjani hadi mezani. Bonyeza “Mbele” au tumia vishale vya kibodi; hakuna kinachojiendesha chenyewe.

Ukiingia: uwanja wenye meza za mbao chini ya paaUkumbi uliofunikwa, chini ya taa za jioniMeza ya mbao: sahani ya pilau na sosiSinia ya kula pamoja

Ukiingia: uwanja wenye meza za mbao chini ya paa

1 / 4

Familia na vikundi

Meza za mbao za watu wengi uwanjani, na mduara wa watu 4 hadi 10. Kwa kikundi kikubwa piga simu kabla.

Vikundi na V.I.P

V.I.P

Booth za V.I.P kwa sherehe na siku maalum, kwa oda ya siku moja kabla.

Package za V.I.P

Picha zaidi zinakuja

Bado hatuna picha za lango, eneo la V.I.P, usiku wote na vyakula vyote vya menyu. Zikipigwa, zitaongezwa hapa.