Agiza
Kuagiza ni kwa mtu, si kwa fomu.
Kwa sasa hatupokei oda wala malipo kupitia tovuti. Wafanyakazi wetu wanapokea kila oda mgahawani, kwa simu na WhatsApp, kisha inaenda jikoni moja kwa moja.
Tumefunga kwa leo, Tunafungua Jumanne saa 12:00
Kula hapa
- Ingia, chagua mezaHuhitaji kuhifadhi.
- Mwambie mhudumuOda yako inaandikwa mara moja na kwenda jikoni.
- LipaTaslimu, pesa ya simu au benki.
Kuchukua
- Chagua kwenye menyuBei za leo
- Piga simu au tuma WhatsAppTaja vyakula na jina lako. Utaambiwa muda wa kuja.
- Chukua na ulipeMgahawani.
Delivery
- Piga namba ya delivery0764 689 647
- Toa mahali ulipoUtaambiwa gharama ya kufikisha na muda.
- Pokea na ulipeKama utakavyokubaliana kwenye simu.
Namba za kuweka oda
Piga au tuma WhatsApp
Ukiona tunachelewa kujibu WhatsApp, tafadhali tupigie simu kupata huduma yako kwa haraka. Usitume SMS.
Oda za mapema
Vyakula vinavyohitaji siku moja kabla
Nyama ya chungu, Kubwa Kuliko na package za V.I.P zinaandaliwa kwa oda ya angalau siku moja kabla. Piga simu au WhatsApp ukitaja siku, saa na idadi ya watu.
Oda kupitia tovuti na malipo mtandaoni havipo kwa sasa. Tukiviwasha, ukurasa huu utaonyesha jinsi ya kuvitumia.