Bei za leo
Menyu
Bei ni kwa shilingi za Tanzania, VAT ndani, na zinatoka moja kwa moja kwenye mfumo wa Zebra. Imesasishwa saa 22:15.
Tumefunga kwa leo, Tunafungua Jumanne saa 12:00. Bado unaweza kusoma menyu na bei; vyakula havijaisha.
Kuagiza: mwambie mhudumu ukiwa Zebra, au piga simu au WhatsApp kwa kuchukua au delivery. Hakuna malipo kwenye tovuti. Namba za kuagiza ›
Arabic Rice
Wali wa aina nne kwenye sahani moja: mandi, pilau, biryani na mandi nazi, pamoja na kuku au mishkaki.
-
Arabic Rice na Sekela Nusu
Bei TSh 17,000Wali wa aina 4 (mandi, pilau, biryani, mandi nazi) na sekela nusu
-
Arabic Rice na Kuku Ndimu Nusu
Bei TSh 17,000Wali wa aina 4 na kuku wa ndimu nusu
-
Arabic Rice na Kuku Ndimu Maziwa Nusu
Bei TSh 17,000Wali wa aina 4 na kuku wa ndimu maziwa nusu
-
Arabic Rice na Kuku Shumashuma Nusu
Bei TSh 17,000Wali wa aina 4 na kuku shumashuma nusu
-
Arabic Rice na Mishkaki 5
Bei TSh 17,000Wali wa aina 4 na mishkaki mitano (nundu 2, fillet 3)
-
Arabic Rice Mixer (mishkaki 3 + kuku nusu)
Bei TSh 23,000Wali wa aina 4, mishkaki 3 na kuku nusu
-
Arabic Rice Kuku Mzima
Bei TSh 25,000Wali wa aina 4 na kuku mzima
-
Arabic Rice Kuku Mzima na Mishkaki 3
Bei TSh 30,000Wali wa aina 4, kuku mzima na mishkaki 3
-
Arabic Rice Kuku Mzima na Nusu
Bei TSh 35,000Wali wa aina 4, kuku mzima na kuku nusu
-
Arabic Rice Kuku Mzima na Mishkaki 6
Bei TSh 35,000Wali wa aina 4, kuku mzima na mishkaki 6
Mduara
Sinia kubwa za kula pamoja, kwa watu 4 hadi 10.
-
Mduara Family
Bei TSh 78,000Pilau, biryani, sauce ya biryani, sauce ya pilau, kaukau chicken 1 mzima, soseji, nyama, ndizi, chips, zabibu kijani na nyekundu, wings 2, drumsticks 3, zegepizza kubwa
-
Mduara Chips
Bei TSh 50,000Kaukau chicken mmoja, wings 3, drumsticks 3, ndizi, chips, zegepizza kubwa, zabibu kijani na nyekundu, soseji, nyama
-
Mduara Wali (watu 3/4)
Bei TSh 48,000Mandi, pilau, biryani na mandi nazi, sauce ya biryani, njegere, sambaro, salad, white sauce; kuku 1 wa kisasa na nyama ya ng'ombe
-
Mduara Wali (watu 5/6)
Bei TSh 65,000Mduara wali na kuku 1 wa kisasa, nyama ya ng'ombe kilo 1, drumsticks 5
-
Mduara Wali Kienyeji (watu 5/6)
Bei TSh 75,000Mduara wali na kuku 1 wa KIENYEJI, nyama ya ng'ombe kilo 1, drumsticks 5
-
Mduara Wali (watu 8/10)
Bei TSh 95,000Mduara wali na kuku 2 wa kisasa, nyama ya ng'ombe kilo 2, drumsticks 10
-
Mduara Wali Kienyeji (watu 8/10)
Bei TSh 115,000Mduara wali na kuku 2 wa KIENYEJI, nyama ya ng'ombe kilo 2, drumsticks 10
Kibriefcase
Masanduku ya choma: zege, chips, kuku na mishkaki.
-
Kibriefcase Choma Small
Bei TSh 20,000Zege special 1, chips sahani 1, kuku wa ndimu robo, sekela robo, mshkaki wa fillet na nundu, mshkaki wa russian soseji 2
-
Kibriefcase Choma Large
Bei TSh 30,000Zege special 2, chips sahani 2, kuku wa ndimu robo, sekela robo, kuku shumashuma robo, mshkaki wa fillet na nundu, russian soseji 3
-
Kibriefcase Choma XL
Bei TSh 40,000Zege special 2, chips sahani 3, kuku wa ndimu robo, sekela robo, kuku shumashuma robo, kuku ndimu maziwa robo, mshkaki wa fillet na nundu, russian soseji 4
-
Kibriefcase Choma XXL
Bei TSh 50,000Zege special 2, chips sahani 4, kuku wa ndimu robo, sekela nusu, kuku shumashuma nusu, kuku ndimu maziwa robo, mshkaki wa fillet na nundu, russian soseji 4
-
Kibriefcase Kaukau Large
Bei TSh 35,000Kuku kaukau mzima, lemon wings, lemon drumsticks, sekela wings, sekela drumstick, boneless kaukau chicken, paprika chips, nyanya, pink mayo na mustard sauce, pilipili ya passion, white sauce
-
Kibriefcase Kaukau XL
Bei TSh 45,000Kuku kaukau mzima, lemon wings, lemon drumsticks 2, sekela wings 2, sekela drumstick 2, boneless kaukau chicken vipande 4, paprika chips, nyanya, pink mayo na mustard sauce, pilipili ya passion, white sauce
Zebra Kipaseli
Sahani ya mtu mmoja: pilau, mandi, mandi nazi au biryani, na nyama au kuku.
-
Pilau Kipaseli Nyama
Bei TSh 10,000Pilau ya kipaseli na nyama
-
Pilau Kipaseli Kuku
Bei TSh 10,000Pilau ya kipaseli na kuku
-
Mandi Kipaseli Nyama
Bei TSh 10,000Mandi ya kipaseli na nyama
-
Mandi Kipaseli Kuku
Bei TSh 10,000Mandi ya kipaseli na kuku
-
Mandi Nazi Kipaseli Nyama
Bei TSh 10,000Mandi nazi ya kipaseli na nyama
-
Mandi Nazi Kipaseli Kuku
Bei TSh 10,000Mandi nazi ya kipaseli na kuku
-
Biryani Kipaseli Nyama
Bei TSh 10,000Biryani ya kipaseli na nyama
-
Biryani Kipaseli Kuku
Bei TSh 10,000Biryani ya kipaseli na kuku
Nyama Nyingi, Mbuzi na Samaki
Ijumaa hadi Jumapili tu.
-
Nyama Nyingi Pro (watu 3/4)
Bei TSh 50,000Russian soseji 2, nundu 2, fillet 2, firigisi mshkaki 1, T-bone 1, kuku choma shumashuma nusu, wings 2, chips za kutosha, onion rings
-
Nyama Nyingi Pro Max (watu 5/6)
Bei TSh 70,000Russian soseji 3, nundu 3, fillet 3, firigisi mshkaki 2, T-bone 1, kuku choma shumashuma mzima 1, wings 3, chips za kutosha, onion rings
-
Nyama Nyingi Plus (watu 6/7)
Bei TSh 100,000Russian soseji 3, nundu 3, fillet 3, firigisi mshkaki 2, T-bone 1, kuku choma shumashuma mzima 1, wings 3, mguu mzima wa mbuzi, chips za kutosha, onion rings
-
The Goat: Mguu/Ubavu (watu 3)
Bei TSh 42,000Mguu au ubavu mzima wa mbuzi; na chips mix ndizi, au wali (pilau, mandi, biryani), au mix
-
The Goat + Kuku wa Kisasa (watu 5/6)
Bei TSh 68,000Mguu au ubavu mzima wa mbuzi na kuku mzima wa kisasa; na chips au wali
-
The Goat + Kuku wa Kienyeji (watu 5/6)
Bei TSh 78,000Mguu au ubavu mzima wa mbuzi na kuku mzima wa kienyeji; na chips au wali
-
The Goat: Mguu + Ubavu + Kuku Kienyeji (watu 10)
Bei TSh 110,000Mguu mzima, ubavu mzima wa mbuzi na kuku mzima wa kienyeji; na chips au wali
-
The Goat: Mbuzi Nusu (watu 10)
Bei TSh 150,000Mbuzi nusu: ubavu mzima, mguu wa mbele mzima, mguu wa nyuma mzima na shingo; na chips au wali
-
Big Fish Medium na Chips + Ndizi
Bei TSh 30,000Sangara wa kilo 1 na chips na ndizi
-
Big Fish Medium na Wali
Bei TSh 35,000Sangara wa kilo 1 na wali wa aina 4
-
Big Fish Large na Chips + Ndizi
Bei TSh 50,000Sangara wa kilo 2 na chips na ndizi
-
Big Fish Large na Wali
Bei TSh 55,000Sangara wa kilo 2 na wali wa aina 4
Package za Zebra
-
Kaukau Chicken
Bei TSh 22,000Kuku kaukau (crunchy), chips, ndizi, sauces
-
Kidate Couple
Bei TSh 28,000Chips, ndizi, soseji, nyama ya ng'ombe, wings 2, drumsticks 2, zabibu nyekundu, zabibu za kijani, zegepiza, vikuku, sauces, na waridi (rose)
-
Kidate Bachela
Bei TSh 20,000Chips, ndizi, soseji, nyama ya ng'ombe, wing 1, drumstick 1, zabibu nyekundu, zabibu za kijani, zegepiza, vikuku, sauces, na waridi (rose)
-
Zege Piza Kubwa
Bei TSh 13,000Chips mayai ya mayai 8, soseji, vikuku na vikorombwezo
-
Zege Piza Ndogo
Bei TSh 7,000Chips mayai ya mayai 4, soseji, vikuku na vikorombwezo
-
Zege Kuku
Bei TSh 25,000Zegepizza na kaukau chicken mzima (crunchy)
-
Kindoo (mtu 1)
Bei TSh 15,000Mchanganyiko wa biryani, pilau, mandi na mandi nazi, chips, kuku, nyama ya ng'ombe laini
-
Kindoo (watu 2)
Bei TSh 25,000Mchanganyiko wa biryani, pilau, mandi na mandi nazi, chips, kuku, nyama ya ng'ombe laini
-
Kindoo (watu 3/4)
Bei TSh 40,000Mchanganyiko wa biryani, pilau, mandi na mandi nazi, chips, kuku, nyama ya ng'ombe laini
-
Zebra Firigisi
Bei TSh 20,000Firigisi 10 na pilau, chips, au pilau na chips (mteja achague)
-
American Chips
Bei TSh 15,000Chips za paprika na boneless chicken breast, secret sauces
-
Loaded Vuruga Beef
Bei TSh 12,000Loaded vuruga (special recipe, cheese) na nyama ya ng'ombe
-
Loaded Vuruga Kuku
Bei TSh 13,000Loaded vuruga (special recipe, cheese) na kuku wa kisasa
-
Loaded Vuruga Sausages
Bei TSh 12,000Loaded vuruga (special recipe, cheese) na russian sausages
-
Loaded Vuruga Mix
Bei TSh 15,000Loaded vuruga (special recipe, cheese) na beef, sausages na kuku
Shawarma (kuanzia saa 10 jioni)
Kuanzia saa 16:00.
-
Kibriefcase Shawarma Large
Bei TSh 30,000Chicken shawarma wraps 2, chips, kaukau drumsticks 2, kaukau wings 2, nyama ya shawarma ya kuku, kaukau crunchies, juisi 2, sauces
-
Kibriefcase Shawarma XXL
Bei TSh 45,000Chicken shawarma wraps 3, chips, kaukau drumsticks 3, kaukau wings 3, nyama ya shawarma ya kuku, kaukau crunchies, juisi 3, sauces
-
Kaukau Shawarma Combo
Bei TSh 17,000Chicken shawarma 1, kaukau drumsticks 2, kaukau wing 1, chips, juisi 1, kaukau crunchies, sauces
-
Vuruga Shawarma Combo
Bei TSh 17,000Chicken shawarma 1, loaded vuruga mix (beef, sausages, kuku), juisi 1, kaukau crunchies, sauces
-
American Shawarma Combo
Bei TSh 17,000Chicken shawarma 1, american chips na boneless chicken, juisi 1, kaukau crunchies, sauces
Oda ya siku moja kabla
Agiza angalau siku moja kabla kwa simu au WhatsApp.
-
Nyama Chungu Ng'ombe kg 1
Bei TSh 25,000Nyama ya ng'ombe kilo 1 iliyopikwa kwenye chungu bila mafuta
-
Nyama Chungu Ng'ombe kg 1 na Side
Bei TSh 30,000Nyama ya ng'ombe kilo 1 ya chungu na side dish (mandi, pilau, biryani, mandi nazi, chips, ndizi au mix)
-
Nyama Chungu Ng'ombe kg 2
Bei TSh 40,000Nyama ya ng'ombe kilo 2 iliyopikwa kwenye chungu bila mafuta
-
Nyama Chungu Ng'ombe kg 2 na Side
Bei TSh 48,000Nyama ya ng'ombe kilo 2 ya chungu na side dish
-
Nyama Chungu Mbuzi Ndogo
Bei TSh 25,000Posheni ndogo ya mbuzi wa chungu
-
Nyama Chungu Mbuzi Ndogo na Side
Bei TSh 30,000Posheni ndogo ya mbuzi wa chungu na side dish
-
Nyama Chungu Mbuzi Kubwa
Bei TSh 40,000Posheni kubwa ya mbuzi wa chungu
-
Nyama Chungu Mbuzi Kubwa na Side
Bei TSh 48,000Posheni kubwa ya mbuzi wa chungu na side dish
-
Kuku Kienyeji wa Chungu 1
Bei TSh 35,000Kuku mmoja mzima wa kienyeji wa chungu
-
Kuku Kienyeji wa Chungu 1 na Side
Bei TSh 40,000Kuku mmoja mzima wa kienyeji wa chungu na side dish
-
Kuku Kienyeji wa Chungu 2
Bei TSh 60,000Kuku wawili wazima wa kienyeji wa chungu
-
Kuku Kienyeji wa Chungu 2 na Side
Bei TSh 68,000Kuku wawili wazima wa kienyeji wa chungu na side dish
-
Kubwa Kuliko (watu 12-15)
Bei TSh 250,000Mbuzi mzima mkubwa na mandi, pilau, mandi nazi, biryani, chips yai, chips kavu, ndizi mzuzu, sauces 7
V.I.P na zawadi
Booth za V.I.P na zawadi, kwa oda ya siku moja kabla.
-
V.I.P Couple (watu 2)
Bei TSh 100,000Booth 1, masaa 4: keki 1/2 kg, kaukau wings, kaukau drumsticks, kuku sekela, kuku lemon, russian sausage, chips mayai, pilau au biryani, loaded vuruga, mishkaki ya nundu na fillet, zabibu, korosho, strawberries, big mojito glass
-
V.I.P Classic (watu 6-8)
Bei TSh 180,000Booth 1, masaa 4: keki 1 kg, kaukau wings, kaukau drumsticks, kuku sekela, kuku lemon, russian sausages, mishkaki ya nundu na fillet, chips mayai, pilau, biryani, american chips, loaded vuruga, chips, ndizi mzuzu, zabibu, korosho, strawberries
-
V.I.P Nyomi (watu 10-15)
Bei TSh 300,000Booth 2, masaa 4: yote ya Classic + nyama ya ng'ombe fried, wings na drumsticks fried, kaukau chicken mzima, nyama ya mbuzi choma, chips mayai, chips plain, mojito tower jug + refill 1
-
Mapambo ya V.I.P (Couple/Classic)
Bei TSh 50,000Mapambo ya booth kwa V.I.P Couple au Classic
-
Mapambo ya V.I.P Nyomi
Bei TSh 60,000Mapambo ya booth mbili kwa V.I.P Nyomi
-
Maua Pelekea Nyuki: Tanzanite
Bei TSh 100,000Chicken drumsticks 30, bouquet, gift box ya chips, chips mayai na ndizi, sauces
-
Maua Pelekea Nyuki: Dhahabu
Bei TSh 90,000Chicken drumsticks 10, beef skewers 10, bouquet, gift box ya chips, chips mayai na ndizi, sauces
-
Maua Pelekea Nyuki: Shaba
Bei TSh 80,000Chicken drumsticks 15, bouquet, gift box ya chips, chips mayai na ndizi, sauces
-
Maua Pelekea Nyuki: Budget
Bei TSh 50,000Nundu mshkaki 3, fillet mshkaki 3, kaukau drumsticks 3, soseji mshkaki 3, chips, ndizi
Juisi na maji
-
Juisi Mango Passion
Bei TSh 2,000Embe, passion, tangawizi
-
Juisi Mango Carrot
Bei TSh 2,000Embe, karoti, vanilla
-
Juisi Mango Chichi
Bei TSh 2,000Embe, parachichi, vanilla
-
Juisi MelonBerry
Bei TSh 2,000Tikiti, strawberry, ndimu, tangawizi
-
Juisi Rose
Bei TSh 2,000Rozela, ukwaju, strawberry, iliki
-
Juisi Muwa Passion
Bei TSh 2,000Muwa, passion, ndimu, tangawizi
-
Maji
Bei TSh 1,000 -
Take away package
Bei TSh 1,000Kifungashio cha take away
-
Sinia ya take away / delivery
Bei TSh 5,000Sinia ya kupeleka (Nyama Nyingi, Mduara, The Goat)
Mojito
-
Mojito Lemon Mint
Bei TSh 7,000 -
Mojito Blue Lagoon
Bei TSh 8,000 -
Mojito Water Melon
Bei TSh 7,000 -
Mojito Orange
Bei TSh 7,000 -
Mojito Strawberry
Bei TSh 7,000 -
Mojito Moonlight
Bei TSh 8,000 -
Mojito Passion
Bei TSh 7,000 -
Mojito Vimto
Bei TSh 7,000 -
Mojito Nanazi
Bei TSh 8,000 -
Mojito Pineapple
Bei TSh 7,000 -
Mojito Green Apple
Bei TSh 8,000 -
Mojito Guava
Bei TSh 8,000 -
Coco Beach Mojito
Bei TSh 6,000
Slushy
-
Slushy Mix Fruits
Bei TSh 10,000 -
Slushy Blue Berry
Bei TSh 9,000 -
Slushy Blue Ocean
Bei TSh 9,000 -
Slushy Strawberry
Bei TSh 8,000 -
Slushy Lemon
Bei TSh 8,000 -
Slushy Lemon Mint
Bei TSh 8,000 -
Slushy Mint
Bei TSh 7,000 -
Slushy Mango
Bei TSh 9,000 -
Slushy Water Melon
Bei TSh 9,000 -
Slushy Nanazi
Bei TSh 9,000 -
Slushy Pineapple
Bei TSh 8,000 -
Slushy Green Apple
Bei TSh 9,000 -
Slushy Guava
Bei TSh 9,000
Milkshake, smoothie na tende
-
Milkshake Chocolate
Bei TSh 9,000 -
Milkshake Vanilla
Bei TSh 9,000 -
Milkshake Mango Strawberry
Bei TSh 10,000 -
Milkshake Strawberry
Bei TSh 9,000 -
Sweetheart Milkshake
Bei TSh 13,000Eat some more, vanilla na secret recipe
-
SweetLove Milkshake
Bei TSh 13,000Oreo, vanilla, maziwa na secret recipe
-
SweetPie Milkshake
Bei TSh 13,000Kitkat, vanilla, chocolate na secret recipe
-
Smoothie Avonana
Bei TSh 10,000Ndizi, maziwa, parachichi
-
Smoothie Beet Me
Bei TSh 10,000Beetroot, ndizi, tangawizi, maziwa
-
Smoothie Cocobab
Bei TSh 10,000Strawberry, embe, parachichi, unga wa nazi, maziwa
-
Tende Shake Simple
Bei TSh 5,000Tende, maziwa, karanga
-
Tende Shake Mixed Fruits
Bei TSh 8,000Tende, ndizi, parachichi, maziwa, karanga, korosho
-
Tende Strawberry Shake
Bei TSh 8,000Tende, korosho, karanga, maziwa, strawberry
-
Mkongo (Tende Shake)
Bei TSh 10,000Tende, almonds, ndizi, maziwa, karanga mbichi, korosho, nazi, mihogo
Hatukupata chakula hicho.
Jaribu neno jingine (mf. "wali", "kuku", "mbuzi"), au tuulize kwa simu: 0688 151 783
Una mzio au mahitaji maalum ya chakula? Muulize mhudumu au piga simu kabla ya kuagiza; hatuna orodha iliyothibitishwa ya viungo vya mzio kwa kila chakula.