Kibriefcase Choma XXL
TSh 50,000 VAT ndani
Watu 4Watu 4
Zege special 2, chips sahani 4, kuku wa ndimu robo, sekela nusu, kuku shumashuma nusu, kuku ndimu maziwa robo, mshkaki wa fillet na nundu, russian soseji 4
- Kundi
- Kibriefcase
- Mzio
- Hatuna orodha iliyothibitishwa ya viungo vinavyosababisha mzio. Kama una mzio, muulize mhudumu au piga simu kabla ya kuagiza.
Kuagiza
Mwambie mhudumu ukiwa Zebra, au piga simu au WhatsApp kwa kuchukua. Kwa delivery piga namba ya delivery. Tumefunga kwa leo, Tunafungua Jumanne saa 12:00
Bado hatuna picha halisi ya chakula hiki.
Ona picha za Zebra