Kibriefcase Kaukau XL
TSh 45,000 VAT ndani
Watu 4Watu 4
Kuku kaukau mzima, lemon wings, lemon drumsticks 2, sekela wings 2, sekela drumstick 2, boneless kaukau chicken vipande 4, paprika chips, nyanya, pink mayo na mustard sauce, pilipili ya passion, white sauce
- Kundi
- Kibriefcase
- Mzio
- Hatuna orodha iliyothibitishwa ya viungo vinavyosababisha mzio. Kama una mzio, muulize mhudumu au piga simu kabla ya kuagiza.
Kuagiza
Mwambie mhudumu ukiwa Zebra, au piga simu au WhatsApp kwa kuchukua. Kwa delivery piga namba ya delivery. Tumefunga kwa leo, Tunafungua Jumanne saa 12:00
Bado hatuna picha halisi ya chakula hiki.
Ona picha za Zebra